• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali Yanayoulizwa Maranyingi |
    • Barua pepe za Watumishi |
Uyui  District Council
Uyui  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Kimsingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Administration and Human Resource
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Envinment and Sanitation
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Ugavi
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Elimu
    • Huduma za Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za baraza la madiwani
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya Mwekekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Hotuba Mbalimbali

Agriculture,Irrigation & Cooperative

(A) SEKTA  YA KILIMO

Utangulizi.

Halmashauri ya Wilaya ya Tabora ina jumla ya eneo lenye hekta ______ ambapo eneo linalofaa kwa kilimo ni hekta _________na hekta ______________ ndizo zinatumika kwa kilimo cha mazao ya chakula, biashara, mboga na matunda.


Lengo la sekta ya kilimo

Mwelekeo wa Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika Halmashauri ya Wilaya ya Tabora ni “Kuwatoa wakulima katika uzalishaji wa kujikimu waweze  kuzalisha kwa tija, kulima Kibiashara na kuwawezesha kukuza mitaji kwa kutumia mbinu endelevu ili kuwa  na wakazi wanaojitosheleza kwa chakula na wenye kipato  bora ifikapo 2025’’.

Shughuli za Seksheni ya Kilimo

  • Kuhamasisha na kusimamia utekelezaji wa malengo ya uzalishaji wa mazao ya chakula, biashara na bustani (Mboga na Matunda)
  • Kuhakikisha wakulima wanapata mafunzo juu ya uzalishaji bora na teknolojia mpya za uzalishaji
  • Kukusanya takwimu za uzalishaji wa mazao, hali ya hewa, bei za mazao sokoni  na kuzifikisha kwa wadau
  • Kuelimisha wakulima juu ya matumizi bora ya ardhi katika kilimo
  • Kuelimisha wakulima juu ya matumizi sahihi ya zana na pembejeo za Kilimo
  • Kuelimisha wakulima juu ya njia sahihi za udhibiti  wa magonjwa ya mazao na wanyama waharibifu wa mazao
  • Kuelimisha wakulima juu ya utayarishaji, usindikaji na hifadhi ya mazao  baada ya mavuno.
  • Kuhamasisha jamii kuboresha na kuongeza masoko ya mazao.
  •  Kuhamasisha na kushirikiana na wadau katika kuandaa maonesho ya sherehe za wakulima Nane Nane.


(B) SEKTA YA USHIRIKA


Lengo la sekta ya ushirika


Kuwa na vyama vya ushirika na SACCOS imara ili kukuza kipato kwa jamii
Shughuli za Seksheni ya Ushirika
I. Kuhamasisha uundaji wa vyama vya Ushirika na SACCOS  
II. Kusimamia uandikishaji wa SACCOS na Vyama vya Ushirika
III. Kutoa elimu ya uendeshaji na usimamizi wa vyama vya Ushirika na SACCOS
IV. Kusimamia na kufanya ukaguzi wa vyama vya Ushirika na SACCOS
V. Kukusanya takwimu za uzalishaji na kuandaa taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Ushirika

Idadi ya vyama vya Ushirika na SACCOS.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUPANGA MAENEO YA KUJENGA VIBANDA VYA BIASHARA KWENYE VITUO VYA MABASI ISIKIZYA NA TURA November 25, 2022
  • KUITWA KAZINI September 07, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA November 04, 2022
  • TANGAZO LA KUPANGISHA MAENEO YA KUJENGA VIBANDA VYA BIASHARA STENDI YA MAGARI ISIKIZYA June 11, 2021
  • Soma zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA YA UYUI AGAWA PIKIPIKI NANE KWA WATENDAJI WA KATA

    February 28, 2023
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA UYUI YAGAWA PIKIPIKI TANO KWA WATENDAJI WA KATA

    December 08, 2022
  • KUELEKEA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA UHURU WILAYA YA UYUI YASHIRIKI ZOEZI LA UPANDAJI MITI

    December 08, 2022
  • MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 61YA UHURU TAREHE 09-DESEMBA 2022

    December 06, 2022
  • Soma zote

Video

SAMIA SULUH
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Zabuni
  • Matukio
  • Matangazo
  • Habari Mpya

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Tabora RAS
  • Tovuti ya Baraza la Mitihani
  • Watumishi Portal
  • Tabora MC

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Uyui District Council

    Anuani ya Posta: S.L.P 610

    Simu ya Mezani: +255 26 296 6008

    Simu ya Mkononi: (1) +255 766616985

    Barua pepe: ded@uyuidc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali Yanayoulizwa Maranyingi
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Copyright ©2016 UyuiDC . All rights reserved.