• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali Yanayoulizwa Maranyingi |
    • Barua pepe za Watumishi |
Uyui  District Council
Uyui  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Kimsingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Administration and Human Resource
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Envinment and Sanitation
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Ugavi
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Elimu
    • Huduma za Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za baraza la madiwani
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya Mwekekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Hotuba Mbalimbali

Mifugo na Uvuvi

Mifugo na Uvuvi

UTANGULIZI:

 Mifugo na Uvuvi inaundwa na Sehemu kuu mbili  ambazo ni:-

(i) Mifugo

(ii) Uvuvi.

MAJUKUMU YA IDARA YA MIFUGO NA UVUVI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA TABORA.

Jukumu la Idara hii ni kutekeleza shughuli mbalimbali zinazohusiana na maendeleo ya mifugo na uvuvi kwa kushirikiana na Serikali kuu na Wadau kutoka Sekta binafsi. Shughuli zinazofanywa na Idara ni pamoja na:-

1. Maendeleo ya Mifugo
Kusimamia utekelezaji wa shughuli za Maendeleo ya mifugo na ufugaji kupitia huduma za ugani ikiwa ni pamoja na kuhamasisha uundwaji wa vikundi vya wafugaji. Kusimamia na kuratibu huduma za kinga na tiba kwa mifugo zitolewazo na Halmashauri ya Wilaya, Serikali Kuu na sekta binafsi. Kusimamia ukaguzi wa nyama na mazao yatokanayo na Mifugo. Kusimamia utoaji wa vibali mbali mbali vya kusafirishia mifugo na Mazao ya Mifugo ndani ya nchi na kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na serikali kuu yanayotokana na mifugo na mazao yake.

  • Kuwatembelea wafugaji/Vikundi vya wafugaji ili kutoa ushauri wa kitaalam juu ya elimu bora ya ufugaji.
    maeneo yao ya kazi.
  • Kufanya utambuzi wa magonjwa, ufuatiliaji na utoaji chanjo dhidi ya magonjwa mbalimbali ya mifugo ikiwa ni pamoja na kutoa matibabu ya mifugo na kufanya uchunguzi wa ugonjwa na ukaguzi wa afya ya mifugo na mazao yake.
  • Kufuatilia na kusimamia utekelezaji wa  miradi ya maendeleo ngazi za kata na Halmashauri,
    Kufanya utambuzi na usajili wa mifugo na uwekaji chapa katika mifugo ikiwa pamoja na kuhuisha takwimu za mifugo


2. Uvuvi
Kusimamia shughuli za uvuvi ikiwa ni pamoja na kutoa leseni za uvuvi, kusajiri vyombo vya uvuvi, Kuhamasisha ufugaji wa samaki  katika mabwawa kwa lengo la kuinua kipato na lishe, kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri yanayotokana na uvuvi,

  • Kusimamia sheria ya uvuvi namba 22 ya mwaka 2003 na kanuni zake za mwaka 2009.
  • Kufanya doria za mara kwa mara kwenye maeneo ya uvuvi kwa lengo la kupambana na uvuvi haramu.
  • Kutoa elimu ya ufugaji wa samaki katika mabwawa (Fish caging)
  •  Utoaji wa leseni za Uvuvi
    - Leseni za biashara (Ukusanyaji) wa mazao ya samaki
    - Leseni za Uvuvi
    - Usajili wa mitumbwi mipya na mitumbwi ya zamani
  • Kutoa vibali vya usafirishaji wa mazao ya uvuvi ndani na nje ya Halmashauri.


HUDUMA ZITOLEWAZO NA IDARA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA TABORA.
1. Utoaji wa vibali vya kusafirisha mifugo ndani na nje  ya Wilaya ya Tabora
-  Ng’ombe/mbuzi na kuku.
   Mfugaji au mtu yeyote anayehitaji kibali cha kusafirisha mifugo yake ndani ya Wilaya au nje ya Wilaya ya Tabora ni sharti atimize masharti yafuatayo ili aweze kupata kibali hicho

  • Kwa uhakika awe ndiye mwenye mali (mifugo) husika (kwa wafugaji) na kwa  wafanya biashara ya Mifugo ni sharti awe na Leseni ya biashara ya Mifugo pamoja na uthibitisho aliponunua hiyo mifugo hiyo.
  • Awe na uthibitisho wa kuthibitisha kuwa yeye ndiye mmiliki halali wa mali husika kutoka kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa uliothibitishwa na Afisa Mtendaji wa Mtaa/Kijiji (Kwa wafugaji)
  • Kwa mifugo ya Asili Mfugaji atatakiwa kuwa na kibali cha kuruhusiwa kuingiza mifugo kutoka  Serikali ya kijiji kule mifugo hiyo inakopelekwa kuonyesha uwepo wa eneo na malisho ya kutosheleza ziada ya hiyo idadi ya mifugo.
  • Awe na kibali cha Mtaalamu wa Idara ya Mifugo kuthibitisha afya ya mifugo yake
  • Awe na kiasi cha Tshs 1000/= kwa kila ng’ombe anayesafirishwa popote ndani ya wilaya na Tshs.1500/= kwa kila ng’ombe anayesafirishwa nje ya Wilaya lakini ndani ya Mkoa  na Tshs. 2500/= kwa mifugo inayosafirishwa nje ya Mkoa lakini ndani ya nchi.

    2. Utoaji wa vibali vya kusafirisha mazao ya samaki
          -  Idadi ya Kilo/Ujazo wa mazao yanayotarajiwa kusafirishwa
          -  Awe na leseni ya kufanya biashara ya mazao ya samaki (valid Licence)

Matangazo

  • TANGAZO LA KUPANGA MAENEO YA KUJENGA VIBANDA VYA BIASHARA KWENYE VITUO VYA MABASI ISIKIZYA NA TURA November 25, 2022
  • KUITWA KAZINI September 07, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA November 04, 2022
  • TANGAZO LA KUPANGISHA MAENEO YA KUJENGA VIBANDA VYA BIASHARA STENDI YA MAGARI ISIKIZYA June 11, 2021
  • Soma zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA YA UYUI AGAWA PIKIPIKI NANE KWA WATENDAJI WA KATA

    February 28, 2023
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA UYUI YAGAWA PIKIPIKI TANO KWA WATENDAJI WA KATA

    December 08, 2022
  • KUELEKEA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA UHURU WILAYA YA UYUI YASHIRIKI ZOEZI LA UPANDAJI MITI

    December 08, 2022
  • MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 61YA UHURU TAREHE 09-DESEMBA 2022

    December 06, 2022
  • Soma zote

Video

SAMIA SULUH
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Zabuni
  • Matukio
  • Matangazo
  • Habari Mpya

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Tabora RAS
  • Tovuti ya Baraza la Mitihani
  • Watumishi Portal
  • Tabora MC

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Uyui District Council

    Anuani ya Posta: S.L.P 610

    Simu ya Mezani: +255 26 296 6008

    Simu ya Mkononi: (1) +255 766616985

    Barua pepe: ded@uyuidc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali Yanayoulizwa Maranyingi
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Copyright ©2016 UyuiDC . All rights reserved.